Getrude Mungai ni kungwi kutoka nchini Kenya, kazi yake kuu ni kuelimisha watu walioko kwenye ndoa au wanaopania kuingia kwenye ndoa kuhusiana na masuala ya unyumba miongoni mwa mambo mengine.
Peter Mungai anasema upigaji kura ulikuwa rahisi kwake. Vifaa vya KIEMs havikusajili alama ya vidole kwenye jaribio la kwanza lakini ilifanya kazi katika jaribio lake la pili. Anasisitiza wale ...