KOCHA wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema kuwa timu yake ilipata ushindi mgumu dhidi ya Coastal Union ya Tanga kutokana na ...
HABARI ndo’ hiyo. Jadon Sancho amekuwa gumzo huko Chelsea huku beki wa kati Tosin Adarabioyo akidai kwamba huyo ndiye ...
USHINDI wa mabao 3-1 ilioupata Simba juzi dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika, umempa mzuka ...
HALI sio shwari ndani ya kikosi cha Coastal Union kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara inayoendelea ...
BAADA ya Yanga kuweka rekodi ya kuwachapa Waethiopia ndani-nje na kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kibabe, ...
Kibarua walichonacho wakongwe hao kila mmoja ni katika kuwania pointi tisa zinazopatikana katika mechi tatu zijazo za Ligi ...
WIKI iliyopita habari iliyotawala ulimwengu wa michezo Tanzania ni kauli ya nyota wa Azam FC na Taifa Stars, Feisal Salum ...
BAADA ya kufuzu kibabe hatua ya makundi ya mashindano ya klabu Afrika, Yanga na Simba kuna uwezekano mkubwa zikakutana na ...
Beki wa Al Ahly Tripoli ya Libya, Thienry Manzi amemuomba radhi kiungo wa Simba, Deborah Fernandez, baada ya kumuumiza kwenye ...
SIKIA hii. Thierry Henry anaamini Erling Haaland anacheza kwa ukomo kwa kile anachoweza kuofa timu yake ndani ya uwanja, ...
Mishi, binti mrembo wa Kitanga, anakolea kwa kijana dereva wa malori, Musa, ambaye amefika bei anataka kumuoa mwanadada huyo.
LIGI Kuu England ina mambo matamu. Kuna baadhi ya klabu vigogo zilicheza mechi kibao bila ya kupoteza kwenye mchakamchaka wa ...